28 Aug 2025 1:52 pm | Citizen TV 305 views Duration: 3:30 Wakulima wa viazi nchini wanahimizwa kutumia teknolojia za kisasa ili kuongeza uzalishaji wa kibiashara. Mojawapo ya mbinu zinazopendekezwa ni matumizi ya mbegu zilizoimarishwa.