28 Aug 2025 1:40 pm | Citizen TV 473 views Duration: 1:57 Hali ya taharuki imetanda katika kaunti ya Isiolo baada ya watu wasiojulikana kuteketeza ofisi ya katibu wa kaunti hiyo na kuharibu mali ya bunge la kaunti hiyo.