Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wahandisi wasio na ajira waliandamana jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    215 views
    Duration: 2:02
    Wanachama wa Taasisi ya Wanataaluma wa Uhandisi Kenya (IEK) wanasisitiza serikali ibuni nafasi za ajira 10,000 kwa wahandisi wasio na kazi.