28 Aug 2025 1:24 pm | Citizen TV 528 views Duration: 4:34 Familia za mitaani zimekuwa zikiendelea kuongezeka katika mitaa ya Nairobi, ambapo wengi wao huzurura bila ya kuwa na makazi ya kudumu.