28 Aug 2025 1:21 pm | Citizen TV 274 views Duration: 3:08 Licha ya kaunti ya Kajiado kurekodi ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia, idadi kubwa ya wakazi ambao ni wafugaji huwa hawaripoti visa hivyo wala kuwasilisha kesi hizo mahakamani.