Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi mwerevu akosa pesa za kulipa bili ya matibabu kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    260 views
    Duration: 1:39
    Huku shule zikifunguliwa kwa mhula wa tatu wiki hii, hatma ya ndoto ya Lewisy Baraka wanyele mwanafunzi wa Shule ya Upili ya Bahai Namawanga iliyoko eneo bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma huenda ikazimwa.