28 Aug 2025 1:12 pm | Citizen TV 232 views Duration: 1:09 Wazazi na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Hindi kaunti ya Lamu wameandamana wakishinikiza kufungwa kwa mgodi wa mawe unaochimbwa karibu na shule hiyo.