28 Aug 2025 1:10 pm | Citizen TV 177 views Duration: 1:59 Huzuni imetanda eneo la Bogambero kaunti ya Migori baada ya mwanaume mmoja kumvamia mama mmoja na kumuuwa kwa kumdunga kisu mara kadhaa.