- 563 viewsDuration: 1:35Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki ameongoza kikao cha 13 cha ushirkiano wa kwenye makao yake rasmi huko Karen jijini Nairobi. Kwenye kikao hicho, Waziri wa Hazina ya Kitaifa John mbadi amesema kuwa mpango wa uagizaji bidhaa kwa kutumia mtandao utatekelezwa kikamilifu ili kuziba mianya ya ukiukaji wa sheria na wizi wa fedha za umma.