- 982 viewsDuration: 4:21Mbunge Barongo Nolfason: Iwapo Rais Ruto angekuwa na msimamo mkali wa kupambana na ufisadi, angemwambia Waziri Duale kuwa kutokana na ubadhirifu wa mali ya umma, asonge kando ili uchunguzi ifanywe lakini kwa sababu Duale ni rafiki yake, hakutakuwa na chochote