28 Aug 2025 10:29 am | Citizen TV 160 views Duration: 1:43 Kamati ya Kitaifa ya inayosimamia Miradi ya mipango na ujenzi nyumba mijini imeelezea mtumaini kwa ukamilisho wa mradi wa Soko la Uhuru mjini Narok ifikapo mwisho wa mwaka