29 Aug 2025 2:09 pm | Citizen TV 478 views Duration: 2:12 Wakazi wa mtaa wa Kariobangi huko Mwatate kaunti ya Taita Taveta wameachwa katika njia panda huku wanakadiria hasara baada ya mwekezaji wa kibinafsi kubomoa makaazi yao