- 1,095 viewsDuration: 3:18Wachezaji wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars sasa wana fursa ya kununua nyumba za serikali kwa nusu ya bei, baada ya serikali kupunguza gharama yake kwa shilingi milioni moja. Rais Ruto aalitangaza haya alipokutana na wachezaji wa timu hii walioshiriki mechi ya CHAN baada ya kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha robo fainali