29 Aug 2025 10:57 am | Citizen TV 689 views Duration: 2:35 Gavana wa Bomet Hillary Barchok pamoja na mwenzake wa Zamani wa Bungoma Wycliffe Wangamati ni miongoni mwa watu walioidhinishwa kufunguliwa mashtaka na mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa tuhuma za ufisadi