- 569 viewsDuration: 14:03Mjadala wa hoja ya kubanduliwa kwa gavana wa Kericho Dkt. Eric Mutai inaingia siku ya tatu leo. Hapo jana, wawakilishi wadi walijikakamua kuwashawishi Maseneta kumfurusha gavana huyo ofisini, wakidai amepora mali ya umma na kutumia mamlaka yake vibaya