29 Aug 2025 10:34 am | Citizen TV 157 views Duration: 1:36 Wakati taifa la Kenya linaendelea kuadhimisha miaka 15 tangu kuidhinishwa kwa katiba mpya,Watu wenye ulemavu kaunti ya Nandi wamesema kuwa hawajafurahia matunda yake kwa kikamilifu