- 160 viewsDuration: 1:55Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Nairobi yatafanyika kuanzia Septemba 29 hadi Oktoba 5 katika uwanja wa Jamhuri Park, yakiwa na kauli mbiu “Kukuza Kilimo na Biashara Rafiki kwa Mazingira kwa Ajili ya Ukuaji Endelevu wa Uchumi.”