29 Aug 2025 10:25 am | Citizen TV 360 views Duration: 1:57 Viongozi wa Kiislamu katika Kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa Baraza Kuu la Waislamu nchini(SUPKEM) kuandaa uchaguzi wa kitaifa mara moja