29 Aug 2025 10:12 am | Citizen TV 396 views Duration: 2:06 Wakazi wa mtaa wa Kariobangi huko Mwatate kaunti ya Taita Taveta wameachwa katika njia panda huku wanakadiria hasara baada ya mwekezaji wa kibinafsi kubomoa makaazi yao