- 3,041 viewsDuration: 2:31Mamia ya wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi walitatizika kwa zaidi ya saa kumi na mbili kufuatia msongamano wa magari ulioanza alhamisi. Kulingana na mamlaka ya barabara kuu -KeNHA, msongamano huo ulisababishwa na ongezeko la magari kwenye barabara hiyo pamoja na madereva waliokosa nidhamu