Hisia mbalimbali zaendelea kuhusu uamuzi wa korti wa mahusiano ya jinsia moja

  • | Citizen TV
    2,023 views

    Rais William Ruto amevunja kimya chake kuhusu mdahalo wa mahusiano ya jinsia moja akisisitiza kuwa Kenya kamwe haitakubali tabia za ushoga na usagaji. Akikiri kuheshimu jukumu la mahakama ya upeo nchini, Rais Ruto alishikilia kuwa ni lazima tamaduni na katiba za Kenya kulindwa. Wakati huo huo, kiongozi wa upinzani Raila Odinga pia amekashifu uamuzi huo wa mahakama ya upeo ulioruhusu usajili wa makundi ya haki ya watu wenye mahusiano ya jinsia moja,