Asilimia 23 ya wanafunzi kutoka Lamu wakosa kujiunga na shule za upili

  • | Citizen TV
    116 views

    Asilimia 23 ya wanafunzi wanaopaswa kujiunga na kidato cha kwanza katika kaunti ya Lamu bado hawajafika shuleni zaidi ya mwezi mmoja baada ya shule kufunguliwa.