Nathif Jama atetea magavana kutoka maeneo kame waliositisha maendeleo kushughulikia janga la ukame

  • | Citizen TV
    172 views

    Mwenyekiti wa kamati ya maeneo kame na udhibiti wa majanga katika baraza la magavana Nathif Jama, ametetea magavana kutoka maeneo kame waliositisha maendeleo ili kushughulikia janga la ukame.