Miradi mbalimbali inayofadhiliwa na benki ya dunia yawafaidi wakaazi wa Lamu

  • | Citizen TV
    262 views

    Serikali ya kaunti ya Lamu imeendelea kuboresha maisha ya wakaazi wa Lamu hasa wakulima, wafugaji na wavuvi kwa kuanzisha miradi mbalimbali inayofadhiliwa na benki ya dunia.