Wagonjwa wengi katika hospitali ya Rufaa ya Moi iliyoko Voi watatiza huduma za matibabu ya dharura

  • | Citizen TV
    301 views

    Hospitali ya Rufaa ya Moi iliyoko mjini Voi kaunti ya Taita-Taveta imekuwa ikipokea wagonjwa wengi zaidi na haswa manusura wa ajali za barabarani. Ni hali ambayo imetatiza huduma za matibabu ya dharura huku mradi wa "Project 47" ukinusuru hospitali hiyo kwa kutoa ufadhili wa zaidi ya shilingi milioni 5 M