Waziri Machogu asema kiwango cha waliofanya mtihani wa KPSEA ni 96%

  • | NTV Video
    188 views

    Waziri wa elimu Ezekiel Machogu anasema kwamba kiwango cha mpito cha kitaifa kwa wanafunzi wa darasa la sita waliofanya Mtihani wa Tathmini ya Elimu ya Shule ya Msingi ya Kenya, KPSEA,kuingia sekondari junia, ni asilimia 96.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya