Polisi eneo la Juja wanasa pombe za hali duni

  • | KBC Video
    120 views

    Polisi wa eneo la Juja kaunti ya Kiambu wanasa pombe za hali duni na pia lita 750 za kemikali Ethanol yenye thamani ya shilingi milioni 6 katika nyumba moja ya makaazi mtaa wa Juja Kusini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC #illicitbrew