Hatma ya waziri wa maji Julie Onyango kuamuliwa na kamati ya bunge la Siaya

  • | Citizen TV
    157 views

    Hatma ya Waziri wa Maji, Mazingira na Maliasili wa Siaya, Dkt Julie Onyango, iko mikononi mwa kamati iliyobuniwa kubaini madai dhidi ya Onyango.