Skip to main content
Skip to main content

Polisi wa Kenya afariki nchini Haiti

  • | KBC Video
    5,770 views
    Duration: 1:16
    Idara ya polisi imethibitisha kifo cha afisa wa polisi Mkenya aliyekuwa akihudumu na kikosi cha kimataifa cha kudumisha amani nchini Haiti. Taarifa ya idara hiyo ilisema kuwa afisa huyo alifariki mwendo wa saa nane usiku kwenye ajali ya barabarani katika eneo laPelerine 9. Familia ya afisa huyo tayari imearifiwa kuhusu kifo chake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive