Baraza la magavana limekosoa wizara ya fedha kuhusiana na uzinduzi wa mfumo wa manunuzi ya serikali kwa njia ya kielektroniki, likisema uliharakishwa, una dosari na kwamba unatatiza huduma muhimu. Baraza hilo lilisema mfumo huo ulizinduliwa kitaifa baada ya kufanyiwa majaribo katika kaunti tatu pekee, na umetatiza manunuzi hasa katika sekta ya afya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive