2,627 views
Duration: 2:08
Wanaume watatu wamefikishwa katika mahakama ya Mombasa wakishtakiwa kwa kumlawiti mvulana mwenye umri wa miaka 15 katika eneo la Ganjoni kaunti ya Mombasa. Washtakiwa Shukri Aden, Abdallah Omar Athumani ajulikanaye kama Babu, na Salim Chege almaarufu Rasta, wanadaiwa kutekeleza kitendo hicho siku tofauti baina ya Agosti tarehe 15 na Agosti tarehe 25 mwaka 2025.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive