Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya afya yawasilisha faili-1188 kwa DCI kuhusiana na ulaghai SHA

  • | KBC Video
    3,427 views
    Duration: 3:11
    Wizara ya afya imewasilisha kwa idara ya upelelezi wa jinai-DCI, jumla ya faili-1188 na ushahidi kuhusiana na ulaghai kwenye mfumo wa utoaji huduma za afya, ili kuchunguzwa kwa kina. Akikabidhi faili hizo katika makao makuu ya wizara ya afya jijini Nairobi, waziri wa afya Aden Duale alisema faili-190 zilitoka kwa halmashauri ya afya ya jamii-SHA huku nyingine 998 zikiwasilishwa na baraza la wahudumu wa matibabu, wanafamasia na wataalamu wa meno nchini-KMPDC. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive