Skip to main content
Skip to main content

Gavana Barchok, Wangamati kulala korokoroni

  • | KBC Video
    643 views
    Duration: 3:53
    Gavana wa kaunti ya Bomet Hillary Barchok pamoja na aliyekuwa gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati watakesha kizuizini leo wakisubiri kufikishwa mahakamani kesho kushtakiwa kwa tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya mamlaka. Wawili hao walizuiliwa kwenye afisi za tume ya maadili na kupambana na ufisadi-EACC baada ya kuridhia maagizo ya kufika humo yaliyotolewa Ijumaa iliyopita. Wangamati hata hivyo alidai kwamba kukamatwa kwake kulichochewa kisiasa katika juhudi za kuhujumu azma yake ya kuwania ugavana wa Bungoma kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka-2027. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive