- 101 viewsDuration: 2:31Mashirika 1,285 ya serikali yamejisajili kwenye mfumo wa ununuzi na uuzaji bidhaa na huduma za serikali kidijitali huku kampuni 7,637 pia zikisajiliwa. Waziri wa fedha John Mbadi amesema kiwango cha usajili kimeongezeka siku kadha baada ya serikali kusisitiza kwamba shughuli zote za ununuzi za serikali zitatekelezwa kupitia mfumo huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive