Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini : Familia moja Githurai inasononeka kufuatia kutoweka kwa mwanao kwa njia ya kutatanisha

  • | KBC Video
    160 views
    Duration: 2:55
    Familia moja katika mtaa wa Githurai, kaunti ya Nairobi inasononeka kufuatia kutoweka kwa mwanao kwa njia ya kutatanisha. Msichana huyo mwenye umri wa miaka minane, alionekana mara ya mwisho shuleni siku ya Jumamosi wiki iliyopita. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa habari za magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive