Wakazi wa Naivasha wafanya maandamano ya amani

  • | K24 Video
    344 views

    Utulivu umeshuhudiwa katika maeneo mengi nchini huku kinara wa Azimio Raila Odinga akiongoza maandamano jijini Nairobi. Wakazi wa naivasha walifanya maandamano ya amani ambayo yalilenga zaidi kulinda biashara zao. Wakati huo huo viongozi wa eneo la Bonde la Ufa wamekemea vikali maandamano ya Azimio wakiyataja kuwa ni njama ya kinara Raila kuyumbisha uchumi wa taifa.