WAZIRI WA MAJI TANZANIA JUMA AWESO AZUNGUMZIA MIKAKATI YA SERIKALI KUHUSU TATIZO LA MAJI NCHINI

  • | VOA Swahili
    708 views
    Dunia wiki hii imeadhimisha siku ya maji ambapo umoja wa mataifa ulisema asilimia 26 ya watu hawapati maji. UN imefanya Mkutano wake wa kwanza wa kimataifa kuhusu maji baada ya miongoni kadhaa tangu ule uliofanyika miaka ya 70. Leo katika studio zetu tumetembelewa na waziri wa maji wa Tanzania Juma Aweso ambaye alihudhuria Mkutano huo. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.