- 610 viewsRais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amemteua aliyekuwa makamu wa rais wa nchi hiyo Jean-Pierre Bemba, ambaye alikuwa gerezani kwa zaidi ya miaka 10 kwa uhalifu wa kivita, kuwa waziri wa ulinzi wa nchi hiyo katika mabadiliko makubwa kwenye serikali. Uteuzi wake ulikuwa sehemu ya mabadiliko makubwa ya maafisa 57 wa serikali, ambayo msemaji wa rais alisema ni ya "haraka na lazima", katika tangazo kupitia kituo cha televisheni ya taifa ya Kongo. Rais huyo pia amemteua Vital Kamerhe, mkuu wake wa zamani wa utawala, ambaye aliachiliwa kutoka gerezani mwezi Desemba 2021 baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu, wakati alipokuwa waziri wa Fedha. Kamerhe Juni mwaka 2022 alifutiwa mashtaka yote baada ya kukataa rufaa dhidi ya mashtaka hayo. Mabadiliko hayo, ambayo yalikuwa makubwa zaidi kuliko ilivyotabiriwa, yamekuja kabla ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Desemba 20, ambapo Tshisekedi anatarajiwa kuwania muhula wa pili. #felixtshisekedi #vitalkamerhe #JeanPierreBemba #drc #mawaziri #uteuzi #congo #voa #voaswahili #dunianileo #rais - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Raia wa DRC aeleza faida ya uteuzi wa Bemba na Kamerhe kuwa mawaziri
- 13 May 2025 - The Moi Teaching and Referral Hospital (MTRH) has successfully performed its first Stereotactic Radiosurgery (SRS) procedure.
- 13 May 2025 - Operations at Belgium's second largest airport were suspended on Tuesday due to a bomb alert on an aeroplane, the company running the airport said.
- 13 May 2025 - The Persons with Disabilities Bill, 2025, is set to offer people with disabilities tax exemptions and reliefs that will significantly improve their quality of life and enhance their access to services.
- 13 May 2025 - Deputy President Kithure Kindiki has dismissed opposition leaders inciting public dissent against the Kenya Kwanza administration.
- 13 May 2025 - Healthcare workers under the Universal Health Coverage (UHC) program countrywide on Monday demonstrated outside the Ministry of Health headquarters at Afya House in Nairobi.
- 13 May 2025 - Kenya has emerged as a top investment destination.
- 13 May 2025 - Magistrate BenMark Ekhubi delivered the ruling on Tuesday, allowing an application by the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP).
- 13 May 2025 - The floods were triggered by heavy rainfall in the nearby Eburru Forest, which sent torrents of water cascading down into surrounding villages. The sudden deluge left a trail of destruction in its wake, washing away property, submerging farmland, and…
- 13 May 2025 - The protestors pitched camp at Afya House as they demanded to speak to Health CS Aden Duale.
- 13 May 2025 - More than 22 million Kenyans have so far registered under the Social Health Authority (SHA), Medical Services PS Dr. Ouma Oluga has announced.