Kaunti ya Nairobi imepanga kuanzisha msako dhidi ya wakaidi wa kulipa ushuru wa ardhi

  • | NTV Video
    500 views

    Katika hatua madhubuti za kuongeza kipato na kuhakikisha utoaji sawa wa huduma, serikali ya kaunti ya jiji la Nairobi imepanga kuanzisha msako mkubwa dhidi ya wakaidi wa kulipa ushuru wa ardhi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya