- 2,201 viewsMarekani imezitaka pande zote za kisiasa nchini Kenya kujiepusha na ghasia na fujo na pia vyombo vya usalama kutotumia nguvu kupita kiasi. Marekani imeeleza inasikitishwa na kupotea kwa maisha na uharibifu wa mali. Ungana na mwandishi wetu akikuletea yale ambayo Marekani inaamini katika demokrasia na nini kiongozi wa upinzani anaendelea kusimamia. Endelea kusikiliza... #marekani #siasa #vyama #upinzani #ghasia #fujo #vyombovyausalama #demokrasia #haki #maandamano #voaswahili #voa #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Marekani yazitaka pande zote za kisiasa nchini Kenya kujiepusha na fujo
- - Duniani Leo ››
- - LIVE|| News Now ››
- 6 May 2024 - Dozens of families are still marooned in their homes within Nyando sub-county as rescue efforts continue to have them moved to higher grounds after River Nyando broke its banks.
- 6 May 2024 - Chadians go to the polls on Monday three years after their military leader seized power, in the first presidential election in Africa's Sahel region since a wave of coups.
- 6 May 2024 - Israeli authorities raided a Jerusalem hotel room used by Al Jazeera as its office after the government decided to shut down the Qatari-owned TV station's local operations on Sunday
- 6 May 2024 - The directors were among 10 arrested in the scandal that touched on seven companies.
- 6 May 2024 - Kiharu MP Ndindi Nyoro has urged Kenyan parents to be patient with the government and wait for school reopening at a time when the government deems fit, posing no risk for learners. Speaking at Blessed Sacrament Catholic Parish church in Kweluu, Mwingi…
- 6 May 2024 - KCSE exams will not be affected by the reorganisation of the school calendar.
- 6 May 2024 - Deputy President Rigathi Gachagua has asked political leaders to concentrate on service delivery and desist from spreading propaganda and idle talk. The Deputy President also called on politicians from Kiambu County, to tone down on high-octane politics…
- 6 May 2024 - Reading Time: 2 minutes In the latest move to overturn the assembly’s vote of no confidence, embattled Migori County Assembly speaker Charles Owino Likowa […]
- 6 May 2024 - Three suspects have been detained on suspicion of direct or indirect involvement in the attack.
- 6 May 2024 - The rangers had been cut off from human population due to excessive flooding witnessed in the area.