Je, nini hatma ya mpango wa wahamiaji UK?

  • | VOA Swahili
    186 views
    Mpango wenye utata wa Uingereza wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda kushughulikiwa kupewa hifadhi unakabiliwa na ukosoaji kuhusu gharama, uwezkena wa ukiukaji wa sheria na haki za binadamu. #mpango #uingereza #wahamiaji #rwanda #ukosoaji #gharama #hakizabinadamu #sheria #voa #voaswahili