Wawaniaji wa viti mbalimbali waadhinishwa na IEBC Pwani

  • | K24 Video
    40 views

    Huko Pwani, baadhi ya wawaniaji viti tofauti hasa wagombea wa kujitegemea wanahangaika kutimiza masharti yaliyowekwa na tume huru ya uchaguzi , IEBC. Katika kaunti ya Kwale, Ali Chirau Mwakwere wa chama cha Wiper ameidhinishwa kugombea ugavana sawa na Hamadi Boga wa ODM.