Utalii katika kaunti ya Nakuru baada ya janga la korona kuisha

  • | K24 Video
    88 views

    Jiji la Nakuru ni mojawapo ya kaunti zinazokua kwa kiwango kikubwa hasa katika uekezaji, uimarishaji wa miundo mbinu na shughuli za kitalii. Katika makala maalum ya leo, tunaangazia utalii baada ya makali ya janga la korona kuisha katika kaunti ya Nakuru.