Skip to main content
Skip to main content

'Tumewatafuta lakini bado hatujui walipo'. Utekaji Tanzania, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,444 views
    Duration: 28:10
    Serikali ya Tanzania inatuhumiwa na makundi mbalimbali ya watetezi wa haki za binadamu kwa kuwakandamiza wapinzani na wakosoaji, japo serikali ya taifa hilo la Afrika Mashariki inakanusha hilo. Baadhi ya wanaharakati wameendelea kushinikiza mamlaka kutatua tatizo la watu kupotea. Baadhi ya ndugu na jamaa ya waliodaiwa kutekwa wanatafuta majibu ya walipo wapendwa wao. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw