4 Sep 2025 1:12 pm | Citizen TV 488 views Duration: 3:18 Rais William Ruto anafungua rasmi maonyesho ya kilimo tawi la Mombasa hii leo. Maonyesho hayo yalianza hapo jana na yamewavutia washiriki zaidi ya 1,000 yakilenga kupiga jeki kilimo cha kisasa na uwekezaji.