- 16 viewsWiki mbili baada ya watu wanne wa familia moja kuteketezwa ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Nyamakoroto kule Nyamira, Watoto Mayatima walioachwa wanapitia changamoto nyingi. majirani wanataka asasi za usalama kuwatendea haki kwani kovu hilo linazidi kuwalemea.