Skip to main content
Skip to main content

Xi, Putin na Kim waonekana hadharani pamoja kwa mara ya kwanza

  • | BBC Swahili
    20,124 views
    Duration: 1:36
    Vladimir Putin na Kim Jong Un wamehudhuria gwaride kubwa la kijeshi huko Beijing kwa mwaliko wa Rais wa China, Xi Jinping. Hii ni mara ya kwanza kwa viongozi hao watatu kuonekana hadharani pamoja – na wachambuzi wanasema tukio hili linatuma ujumbe wa mshikamano kati ya nchi hizi tatu kuelekea mataifa ya Magharibi, hasa Marekani. Munira Hussein anelezea zaidi. #bbcswahili #China #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw