Skip to main content
Skip to main content

Wasanii wachanga kutoka Pokot Magharibi walipiwa karo

  • | Citizen TV
    165 views
    Duration: 1:25
    Waigizaji wawili chipukizi maarufu kama Poyon Commedians kutoka kaunti ya Pokot Magharibi wamepata nafasi ya kuendelea na masomo baada ya kulipiwa karo ya shule ya bweni ya msingi ya Nasokol. Hatua hii imechochewa na hali ngumu ya kifedha ya familia zao, ambapo mbunge wa Emurua Dikirr, Johanna Ngeno, aliwasaidia kulipia karo ili vipaji vyao visiwe kikwazo kwa elimu yao.Familia zao pamoja na wanaharakati wa sanaa kaunti hiyo wamesema ufadhili huo ni mwanga wa matumaini kwa watoto wenye vipaji ila wanatoka katika familia masikini.