Skip to main content
Skip to main content

Puitin: "Tutashambulia vikosi vya kigeni vikitumwa Ukraine" Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    14,990 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kuwa wanajeshi kutoka nchi Magharibi watakaotumwa Ukraine watakuwa shabaha halali ya kushambuliwa na Urusi. Hii inakuja baada ya Ufaransa kusema washirika 26 wa nchi za Magharibi watatuma wanajeshi Ukraine kama sehemu ya dhamana za usalama iwapo makubaliano ya kusitisha mapigano yatapatikana. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw