- 15,554 viewsDuration: 2:21Wakazi wa Mandera wanahofia usalama wao kufuatia madai ya kuwasili kwa wanajeshi kutoka eneo jirani la JUBALAND nchini Somalia, katika mji huo wa mpakani. Wakazi wakielezea kushindwa kuendelea na shughuli zao za kila siku kwa kuhofia maisha yao. Hatahivyo, naibu chifu wa eneo la mpaka wa Border One Ahmed Maalim Ibrahim amesema shughuli za kawaida zinaendelea bila tatizo lolote.